Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wana mapenzi ya kweli. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wana mawenge. Ishirini na nne hadi ishirini na saba wanajitambua. Ishirini na saba hadi thelathini wana hofu na mashaka mengi. Thelathini hadi thelathini na tano wana msongo wa mawazo. Thelathini na tano hadi arobaini na mbili ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.

Quote tags

true-love siri secret restlessness ndoa msongo-wa-mawazo men mawenge mashaka marriage mapenzi-ya-kweli lovers hofu fear doubts dna depression vinasaba wanaume wanawake wapenzi women

Similar from depression genre

Have you ever thought, thought your heart would break? Wished ... by Sarah Kane Quote #192217
For someone like myself in whom the ability to trust ... by Osamu Dazai Quote #81332
The depressed and the suicidal are often lonely and inhibited. ... by David L. Conroy Quote #146749
Let it go and learn from the process. ... by Nash Quote #193304