Oga. Watu hawaogi ndiyo maana wachafu. Kuoga ni lazima kutumia maji. Ukitaka kuoga neno, tumia maji; na ukitaka kuoga maji, tumia neno; kuwa msafi. Huwezi kuyakimbia maji maana usipooga utanawa, na usiponawa utayanywa tu. Maji ni neno na neno ni uhai wa maji.

Quote tags

clean dirty kuoga life maji msafi neno oga people uhai wachafu wash water watu word

Similar from clean genre

No dirt can touch me, like an ocean, everything that ... by Debasish Mridha Quote #87079
Before he had come to the town he had known ... by Anne Holm Quote #159672
Before letting someone hold your heart in their hands, make ... by Matshona Dhliwayo Quote #151918
He longed for cleanliness and tidiness: it was hard to ... by Robin Hobb Quote #191367